Monday, December 13, 2010

RESHMAIL KATIKA VITA YA MAPENZI

Mapenzi ya jinsia moja aliyozoeshwa na mama yake mzazi tangu akiwa mtoto mdogo yanaiziba akili yake asijue lolote kuhusu mwanaume.
Nafasi ya kwanza na ya pekee anayoipata ya kwenda mbali na familia yake inamkutanisha na mwanaume wa kwanza katika maisha yake kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook,linaanza penzi dogo lisilokuwa na madhara lakini pale alipothubutu kumtambulisha kwao ni hapo vita kuu ya mapenzi inapoibuka,mama analilia penzi na kijana Adam amependa tayari.
Ni katika KITABU CHA RESHMAIL-Vita ya mapenzi.

No comments:

Post a Comment