Saturday, November 6, 2010

"AGAINST WOMEN-introduction"

Christian ni kijana mtanashati aliyelelewa katika kituo cha watoto yatima baada ya mama yake kumtelekeza,kadri anavyozid kukua anapata wito wa kuihubiri injili na kueneza amani na upendo duniani,akiwa na miaka 16 anatolewa pale kituoni kwa ahadi ya kwenda kusomea masomo ya upadri lakini mwanamama mmiliki wa kituo hcho anamgeuza mtoto huyo kama muhudumu wake kimapenzi,Christian anaish katika kifungo hcho kwa miaka mitano,alipofanikiwa kutoka hapo anabadilika na kuwa mtu tofauti kabisa na kuitikisa Nchi nzima

*Chris alitoka vp katika kifungo.
*Ni hatari ipi anayokuja nayo Chris.
*Huyo mwanamama ni nani?

TWENDE PAMOJA KATIKA BLOG HII.

No comments:

Post a Comment