Friday, October 29, 2010

JAMANI RESHMAIL---07

"JAMANI RESHMAIL-07"

by George Mosenya on Monday, October 25, 2010 at 8:51pm
Hakuwa hata na chembe ya utani Reshmail wa watu,majira ya saa moja asubuh tayari alikuwa kwenye gari la KIMOTCO ninalotoka Arusha kwenda Musoma kwa kupitia Serengeti,kitu kinachoitwa hofu moyoni hakikuwepo hata kwa mbali,ndan ya kipoch chake kidogo alikuwa na pesa taslimu za kitanzania shiling laki mbili zikisindikizwa na kadi ya viza ya CRDB iliyokuwa na uwezo wa kutoa shiling laki tano kwa siku mara nne yaani milioni mbili zilikuwa zimehfadhiwa katika acount yake ya akiba.Mamaa wa shughuli (Eveline) alikuwa pembeni ya Reshmail,hofu kwake haikuwepo wala hakuiwaza tayari alikuwa mzoefu wa mambn hayo."Eveline yani akili ndo inakuja sasa hv eti kwa nin tusingepanda ndege dah! gari linaenda taratibu hlo jaman" alilalama Reshmail kwa wananch wa kawaida waliomsikia walidhan ni mashauzi ya watoto wa kike "Mh? shoga ulivyokuwa na hamu ungekumbuka hayo,tutafika weye acha papara"
Gari lilizidi kuchanja mbuga za ngorongoro kwa kasi ya kawaida hadi majira ya saa saba tairi chakavu za gari hli zilikuwa tayari kwenye mbuga za serengeti,Resh alikuwa macho anatazama safari inavyokwenda huku akihesabu masaa yanavyokatika kwa kasi huku mwisho wa safari ukiwa haufiki.Eve yeye alikuwa ameuchapa usingzi huku akiwa amejifunika uso wake kwa kofia yake nyeus ambayo vumbi ilikuwa imeibadili rang yake na kuwa ya ugoro.(Brown).
"Eve eve eve,amka uone wewe" Resh alikuwa anamwamsha kwa fujo."Angalia hii sms imeingia sasa hv" "Resh mazako kaja unatafutwa uko wap?" jasho jembamba likaanza kumtoka resh lakin Eve hakushtuka sana.Walikuwa wametumiwa ujumbe mfup na mmoja wa viranja."Eve tumeisha tumeisha"

* * * * * * * *

Ulikuwa mshikemshke wa ghafla pale shulen mwalimu aliamuru kila mmoja aje mstarini hata kama ni mgonjwa,viranja walitii amri na kuita wanafunz wote kwa haraka hakuna hata mwanafunz mmoja aliyebk ndan ya bwen.
Wakiwa hawajui nini kinachoendelea mwalimu wa zamu aliyeitwa Mwl.Chipeta alikuwa mbele ya wanafunzi waliokuwa kimya kumsikiliza yeye.Kabla sijatoa tangazo hili,ni nan anatambua mwanafunz ambaye hayupo? (Kimya) "Nani anaumwa na amepewa ruhusa?" (Kimya) "Kwa hyo wote mpo?" (Ndiooo) "Haya mchepuo wa H.G.E wote pita mbele" aliamuru mwalim Chipeta na kwa haraka wakaanza kujongea mbele."Mamaaaaa," ghafla kelele ilisikika kuna mwanafunzi aliyekuwa mgonjwa alikuwa ameanguka chn kwa sababu ya kizunguzungu.Ustaarab ukatoweka pale ghafla kila mwanafunzi akawa anasema lake,mara hv mara vile. Hata mwalimu Chipeta alitimua mbio kuelekea kwenye tukio.
Ni wakat huohuo Joyce ambaye alikuwa kiranja alipata mwanya wa kutuma ujumbe kwa Reshmail kumpa taarifa.

* * * * *

JAMANI RESHMAIL---06

"JAMANI RESHMAIL-06"

by George Mosenya on Thursday, October 21, 2010 at 3:26am
Majukumu ya hapa na pale yalikuwa yamembana sana Bi.Gaudensia ambaye ni mama yake na Reshmail,pia uwepo wa mumewe katika himaya yake ilimnyima kabisa raha mama huyu na alikuwa anakosa nafasi ya kwenda Arusha mara kwa mara kufurah na mwanaye jambo ambalo lilimtesa kwa takribani mwezi mmoja na nusu.Vipindi vya bunge vilipoanza tena ndio hapo nafasi ilipatikana tena,kwa muda wote ambao alikuwa jijin dar-es-salaam Bi.Gaude alikuwa akiwasiliana na mwanae karibia kila siku kwa njia ya simu,alijua ni jinsi gan hata mwanae huyo alivyo'm-mis' hvyo aliamua kumfanyia 'surprise' ya kwenda huko Arusha shuleni bila kumwambia ili kuinogesha furaha yao ambayo ilikuwa inakamilika kitandan."Baba Resh mie kesho naenda kumsabah mwanetu,lakin hata simwambii nataka ashtukie tu,mama huyo"
"Atashangaa kweli,msalimie sana mwambie nitakuja kumsalimia bunge likimalizika" "Haya,zimefika"

* * * * * *

Penzi la ku-chat katika mtandao wa facebook lilikuwa limemchanganya sana Reshmail wa watu,Adam hakuwa nyuma kumpa maneno matamu ya hapa na pale ambayo kamwe alikuwa hajawah kuyasikia masikion mwake,Eve mwenyewe alimshangaa huyu shoga yake lakin hakuwa nyuma kumpiga tafu katika mpango mzima wa kumtia Adam majaribuni ndio maana alimshawish Resh kupga picha mbaya ambazo mwanaume yeyote akiziangalia lazima ajiulize mara mbilimbili kuhusu urembo asilia wa binti yule.
"Mi nipo peke yangu siku hizi rum-mate wangu ameenda kwao babake anaumwa" "Don't tell me kuwa unalala mwenyewe"
"Nitafanyaje sasa na wewe upo mbali?"
"ooh! my ghosh! assume nipo hapo"
"Aah,nitajiumiza bure tu mpenzi wangu"
"Anarudi lini kwani?"
"Mh! amesema atatumia kama wiki mbili hv,njoo basi unipe 'kampan' kiaina"
Yalikuwa mazungumzo kwa njia ya simu kati ya Adam na Reshmail yaliyokatishwa na na mlio wa 'low battery' katika simu ya Reshmail "Baby boy tutaongea kesho,pole sana na ninakupenda sana" alimaliza resh na simu ikawa imezima.
"Eveline nataka kwenda Mwanza" asubuh ya siku iliyofuata Resh alimwambia Eve."He! makubwa haya,imekuwaje kwan shoga" aliduwaa."Mi sijui lakin nataka kwenda tu" alisema reshmail "Haya lini wataka kwenda?" "Hata kesho mi naenda tu" "Mh! sikuwez haya jiandae kutoroka coz ruhusa hapa kupata sahau" "Vyovyote poa ninachotaka ni kuondoka na kwenda Mwanza that's all" alijibu kijasiri Resh hali iliyomduwaza eveline.

* * * * * *

"Reshmail hayupo? mbona jana alikuwa hapa ofisin?" mwalimu wa zamu alikuwa anamuuliza mwanafunzi aliyeagzwa kumuita Reshmail baada ya mama yake kuwa amefika,"Hata mi sijui mwalimu"
"Hapana sio jambo la kawaida reshmail kutokuwa mazingira ya shule tena jumatatu! hebu mwambie time-keeper agonge kengere mara moja" aliamrisha mwalimu.

JAMANI RESHMAIL---05

Mara zote walizokuwa wakipeana burudani kitandani au sakafuni Mama yake alikuwa ndiye mwalimu wa kila ki2,yeye ndio alijua wapi amguse,wapi amtekenye ili mradi kuleta raha na wote kuridhika.Lakini safari yake ya mara ya tano kwenda Arusha kwa mpenzi wake huyo haramu ndipo alipokutana na mshangao.Reshmail yuleyule aliyekuwa zuzu kitandani akihudumiwa kila kitu na mama yake ili aridhike alikuwa moto wa kuotea mbali.Alimgalagaza mama yake ipasavyo kwa ku2mia vidole vya mikono yake pamoja na ulimi wake kutambaa kila kona ya sehemu husika .Mama reshmail (Bi.Gaudensia) alijikuta akiongea lugha ambazo hazipo katika ulimwengu huu.Hoteli ya Tanzanite chumba namba 18 kiligeuka kama pepo kwa wawili hawa,mama alikuwa analia sana machozi ya furaha na mbaya na ya kuchekesha eti akasema "Darling UTANIOA eeh!" jaman raha zikizid sijui kilimfurahisha nini mama huyu kwa mwanae.Kulipokucha Bi.Gaude alimrudisha mwanae shuleni kama alivyokuwa amemwombea ruhusa."Mama huyu ni rafiki yangu anaitwa Eveline,Eve huyu ni mama yangu mpenzi" Reshmail aliwatambulisha baada ya kumkuta Eveline pale ofisini."Shkamoo mama" "Marahaba" alijibu mama bila kumwangalia usoni Eveline ambaye hakujali hilo sana "Punguza wivu sweet" Resh alimnon'goneza mama yake,ambae alitabasamu "Nakupenda mwanangu" "Nakupenda mama" waliagana mama akaondoka kurudi kwa gogo lake (Mumewe) huko dar.

* * * * *

"Ukitaka kuujua utamu wa ngoma ingia ucheze" ndio jibu alilopewa Resh baada ya siku moja kumuuliza eti anafaidika nini kuangalia filamu za ngono,mwanzoni alikuwa akiangalia kwa aibu san lakini baada ya kufanikiwa kuzihamishia kwenye "Laptop" yake mambo yakawa ya kawaida japo kwa kujificha,mara nying alijifunika shuka na kuweka earphone masikion kisha burudani.Ni mchezo huohuo mchafu Resh aliuiga na kwenda kujaribisha kwa 'mpenzi mama'."Hivi Eveline kuna raha kufanya au kuangalia peke yake inatosha?" "Haha haloooooo! unalo shosti,wenzio wakata viuno we wafurahia miguno looh!" Vidole vikiwa juu kama muimba taarabu Eve alimchambua Resh,"Mh! shoga si unifunze kuliko kunichambua?" alijitetea resh kwa saut ya chini,"Ulisema huna bwana weye sasa kulikoni ya nini haya tuachie sie wamama wa shughuli" "Eve we ni rafiki yangu ngoja nikwambie ukweli.....mimi nampenda mtu ambaye sijui kama ananipenda au tutaendana"
"Vipi hujawah kumwona au?"
"Nimemwona kwenye picha"
"He! una makubwa we mrembo au ndo yule kwenye kompyuta yako?"
"Haswaa ndio yeye"
"Hata kama hujamuona yule pale dume la ukweli,kile kifua usimlete kwangu nitakuibia," alitania Eve.kisha akaendelea "Najua hujui jinsi gani utampata niachie hyo kazi mimi ndan ya wiki moja nakukabidh mali yako." "Asante evely asante sana" alishukuru
* * * *

Ilikuwa ni picha ya binti mrembo sana akiwa amejifunga taulo kwa chn huku chuchu zikiwa nje,"Ndio natoka kuoga,vp nimetakata?" iliambatana na ujumbe ule.Adamu alibaki mdomo wazi,mh hv inawezekana akawa Reshmail dah! alishangaa Adam.Akiwa bd mdomo wazi email nyingne iliingia ilikuwa picha tena,safari hii ilionyesha sehemu yote ya nyuma "NIPAKE MAFUTA" ndio ujumbe uliobeba picha hyo.Bila kujua muda gani na kwa mising ipi Adam alikuta pensi laini ikiwa imembana,kuja kugundua chanzo ni sehemu flani kwenye mwili
wake ilikuwa imeongezeka ukubwa (Ha ha ha ha wanaume dhaifu sana.


Je,mtego utanasa?
Nani anatuma hzo picha?
Mama na mwana safari yao had lin?

I T A E N D E L E A ! !

JAMANI RESHMAIL---04

Mwanzoni ilianza kama utani pale Adam alipokubali ombi la Reshmail kuwa marafiki,walikuwa wakiulizana mambo ya kawaida sana huku katika orodha ya marafiki wa Reshmail ni Adam peke yake alikuwa mwanaume,"Mbona una marafiki wachache au ndo umejiunga facebook?" adam alimuuliza reshmail katika moja ya 'chatings' zao "No ni uamuzi 2 iam nt interested with boys i wonder why you?" "May be iam someone special,who knows" alijibu Adam, "You might be" alijibu reshmail."Yani hadi mchumba wako hujamweka kwenye orodha?" "Sina huyo mchumba unayemdhania" "What? msichana mrembo kama wewe,au hzi picha sio zako?" "Ni zangu kwan ukiwa mrembo lazima uwe na mpenzi?"alisisitiza resh kisha akaendelea "Naona we upo kwenye uhusiano,hongera" aliandika resh,ni wanaume wachache sana akiulizwa na msichana mrembo kama ana mpenzi halafu akubali na hata kwa Adam ilikuwa hivyo,"Mh! nimejiandikia tu,mi sina mtu nani wa kunipenda mimi?". Alidanganya Adam,"What! hawakioni hcho kifua chako au na wewe hyo sio picha yako?" "Ni ya kwangu,Reshmail una utani wewe" "Sina utani nimekipenda sana" "Haya asante,kwako wewe sina la kusema unavutia kila upande" "Asante lakin we zaidi,Adam naingia kuoga nisindikize basi" "Wee,si umeniambia mnakaa wanne sa wenzako watanielewaje?" alijibu Adam huku akiamin kwamba hayo yote yanayotokea ni utani mtupu. "Kwa hyo ningekuwa peke yangu ungenisindikiza?" "Yeah? ningekusindikiza lakini ningefumba macho" alitania Adam."Vp ninatisha sana au,yan had ufumbe macho sawa tu" alilalamika Resh,"Natania mrembo lakin si unajua tena nitajiumiza" "Ok! tuachane na hayo,simu yako inauwezo wa kufungua e-mail?" "Inafungua tena sasa hv nilikuwa ninasoma emails" alijibu adam."Ndio hii Adamboy@Yahoo.com?" "Yap ndio hyo" "Fungua baada ya dakika tano uone zawadi yako"
Jasho jembamba huku mikono ikitetemeka,macho yakiwa yamemtoka Adam hakuamin anachokiona kwenye simu yake.

### ### ### ### ### ###

Mazoea ya Reshmail na mama yake kujigeuza mtu na mpenzi wake yaliwaathiri sana wawili hawa,mara kwa mara Bi.Gaudensia alifanya safari za ghafla kwenda Arusha kufaid penzi la jinsia moja kutoka kwa mwanae mpendwa,raha alizozipata hakuwa na muda wa kumfikiria mumewe tena,tabia hii ilimuathri sana Reshmail pale shulen,licha ya urembo wake hakuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume yeyote pale shulen bila kujalisha uwezo wao kifedha wala sura na utanashati wao,aliwaona hawana maana kwake zaid ya mama maskin Resh hakujua tamtam ya penzi la wanaume.
Alikuwa ni Eveline,binti aliyekuwa anaish chumba kimoja na Resh,akiwa ni mzaliwa wa hapohapo Arusha anayezijua kona zote za Arusha,pombe,club na ngono ndio walikuwa marafiki zake wakubwa,alikuwa mchesh na mzuri wa sura lakin kubwa na jema zaid alikuwa mwelevu sana darasani katika mchipuo wa "H.G.E" pamoja na reshmail,ni jambo hilo lililowaweka wawil hawa karibu.Mshipa wa aibu haukuwepo kichwani mwa Eveline,na kama ulikuwemo basi haukuwa unafanya kazi vizuri,picha alizozipenda ni za uch na movie za ngono ndio alizokuwa anaangalia tena kwa anapandisha sauti hadi vyumba vingne wanasikia.Ni huyu eveline aliyemwingza Resh katika maswali ya kwa nini,na inakuwaje "Mbona nikifanya na mama silii kama hao? alijiuliza Reshmail akiwa ndan ya kitanda chake huku pemben Eveline akiwa bize na laptop yake akiangalia movie ya ngono "Ponographics" ......."Nitamuuliza Eve siku moja lakin nitaanzaje?"


I T A E N D E L E A

JAMANI RESHMAIL---03

Ubize aliokuwa nao mheshimiwa mbunge ulimkosesha raha mkewe bi.Gaudensia Ogunde,hakuipata haki yake ndoa kwa takribani mwezi mmoja sasa,mume alikuwa anachelewa kurudi na akirudi anakuwa amechoka sana kutokana na majukumu mazito ya kiserikali,na ikitokea siku akathubutu kujaribu kutoa huduma basi alikuwa hamridhish mkewe,taratibu mama akajaribu kuzoea lakini kuna wakat uvumilivu ulikuwa unamshnda,nyumba nzima alikuwa akiish yeye,mtoto wake wa kike na msaidiz wa kazi (House girl)."Mwanangu ni siku ya tatu baba yako halali nyumbani,najisikia mpweke sana kulala mwenyewe" bi.Gaudensia alimweleza mwanae kwa unyonge "Pole sana mamii hata mi sipend hyo tabia ya baba,leo nakuja kulala na wewe mama" alijibu yule binti mwenye miaka 17 akiwa ndio kwanza amemaliza kidato cha nne.Mama hakujibu kitu badala yake alimkumbatia mwanae kwa sekunde kadhaa kisha akamwachia huku machozi yakimlengalenga.
Majira ya saa tatu usiku mama na mwana walikuwa kitandan wote wakiwa na night dress,kitanda kilikuwa kikubwa lakin umbali wao ulikuwa karibu mno,mapigo ya moyo ya mama yalikuwa juu sana,jasho lilikuwa likimtoka mtoto kwa kasi air condition iliyokuwa inapuliza haikuwa na maana tena mama na mwana walijikuta katika hisia nzito sana za mahaba,sio mimi wala wewe tunaojua walipoanzia.
###### ######## ########
>>Reshmail Mtoto wa mwisho na pekee wa kike kati ya watoto wanne wa mbunge wa jimbo la Kinondoni Mheshimiwa Msuruli Haruna,hakupata kujua shida katika maisha yake na urembo aliojaliwa pia hakuufaham kwa sababu hakuwepo wa kumwambia kuwa yeye ni mrembo,kuta na fensi ya sen'gen'ge iliyozunguka mji wao haikumruhusu kutoka nje hovyo hovyo,tofauti na siku ya kwenda msikitini Resh alilazimika kusubiri hadi alipofikisha miaka kumi na 16 alipojiunga na kidato cha kwanza katika shule ya st.marry's international ndio alipata wasaa wa kujumuika na wananch wengne wa Tanzania na nchi za jirani,elimu yote ya darasa la kwanza hadi la saba aliipatia katika jumba la kifahari la baba yake.
Mazoea ya kuish maisha ya peke yake peke yake yalimtesa sana Resh kiasi kwamba hadi anamaliza kidato cha nne aliweza kuwa karibu kiurafiki na wanafunzi wachache na weng wao wakiwa wasichana tena watoto wa matajiri na vigogo mbalimbali wa serikali.Kampani kubwa ya Reshmail alikuwa ni mama yake mzazi,yalikuwa ni mazoea makubwa sana lakini yasiyoshangaza,mara nying walikuwa wanatembea pamoja huku wameshkana mikono huku wakifurah sana.
Kidato cha tano na sita katika shule ya Arusha international school ndio kwa mara wa kwanza ilimpeleka nje ya jiji la dar-es-salaam.
Resh alilia sana kutenganishwa na mama yake lakini hakuwa na jinsi ilimlazimu kuondoka,mama alishindwa kujizuia alilia kwa uchungu ambao mumewe hakuutambua maana yake. "Nitakuwa nakuja kukusalimia" bi Gaudensia alimnon'goneza mwanae wakati akipanda gari la baba yake kuelekea airport."Usiache mama".alijibu resh huku akimbusu mama yake shavuni.

Kulikon tena mama na mwana?

I T A E N D E L E A

JAMANI RESHMAIL---02

JAMANI RESHMAIL-02

by George Mosenya on Thursday, October 21, 2010 at 3:23am
>> Hadi anafika mwaka wa pili kimasomo chuoni S.T Augustine kitivo cha sheria Adam aliitumia simu yake kwa ajili ya kupiga,kutuma sms na kupokea ni hayo tu na kwa upande wa pili alipenda sana kucheza game ya kwenye simu.
Alikuwa ni Hughorito Hamada ama maarufu kama 'HUHA'.hakuwa tu rafiki yake adam bali pia alikuwa ni 'roomate' na classmate wangu pale chuon,ni huyu aliyemuingza adam katika ulimwengu ambao hatausahau kamwe,tabia yake ya kupenda kuazima simu ya Adam aina ya Nokia Expres music kwa dhumun la kuchat ndio ilimshawish adam naye kuanza kujiuliza kulikoni hasahasa alipokuwa anamwona Huha akicheka mwenyewe kila anapokuwa anachat,"Mh! we jamaa yangu chzi kwel yan unacheka na watu usiowaona" Adam alimkebeh Huha alipokuwa anacheka na simu yake "Kwani we ukiwa unaota unaongea huwa kuna watu mbele yako?" Huha alijibu mashambulizi na adam akabaki kimya na taulo lake kiunoni akaenda bafuni kuoga,"Mwanangu nimekuunga na wewe password yako ni..,.." hata kabla Huha hajamaliza adam akamkatisha "Nini? huo upumbavu wako sitafanya kamwe bro" ..."Hv kwan inakuwaje huo upuuzi" Adam akajikuta anauliza baada ya kuwa amevaa nguo zake "Hii kitu inaitwa FACEBOOK,yan adam ukijiunga wewe hutoki na utakuwa nayo bize kweli" Adam alisikiliza kwa makin japo alijidai kufanya dharau machon,Huha hakujali aliendelea kutoa somo had Adam akapata mwanga,"Mh. Sidhan kama itanivutia bt i wil try". Alijisemea adam wakat anachukua simu yake.

###### ########## ######
Tabia ya Adam ilikuwa imebadilika ghafla ni Adam na facebook,facebook na yeye,iwe barabaran,club,lecture room,hostel yani kasoro mskitini tu ndio Adam aliweza kuhfadh simu yake.Sio Huha wala rafiki yake yeyote aliyejua nini zaid ya facebuk kimemuathiri adam wa watu.Hakumuazima tena Huha simu,hakutaka mazoea na wasichana ni yeye na simu yake tu!! "Adam mbona washkaji wanalalamika eti wanakuomba urafiki facebook unachomoa? siku moja Huha aliamua kumuuliza Adam baada ya kuona tabia yake imekuwa ya ajabu mno kupindukia."Sitaki that's all". Ndio jibu fup alilopewa.kisha adam akajiondokea.Huha akabaki ameduwaa asijue la kufanya,mara ghafla adam akarudi tena "Huha naomba ukamwambie Halima simtaki,usiniulize kwa nini mwambie SIMTAKI!" adam alimwambia Huha kana kwamba alimfumania huyo halima.
Mpenz msomaj Halima alikuwa binti matata pale chuon kwa kipind kile,Adam ndo alipata fursa ya kuangukia penz lake,penz lao chuo kizima walifahamu,gari ya Halima ilikuwa kama ya Adam..chumba cha Cha Halima kilipambwa picha na kad za Adam lait na Adam angekuwa anakaa peke yake basi hata yeye chumba chake kingekuwa had na nguo za ndan za Halima pamoja na pedi bas tu alikuwa anakaa na Huha.
Huha alibak mdomo waz akijiuliza ni Adam au kivuli chake kinaongea.Alikuwa Adam sio kivuli.....

nin kimemsibu adam?
Reshmail ni nan!

JAMANI RESHMAIL---01

Mwanza,Tanzania.

"Reshmail Msuruli want to be your friend.'confirm' 'ignore' ulikuwa ni ujumbe ambao macho yangu yalikutana nao nilipofungua mtandao wa facebook,sikumbuki kama nilijifikiria mara mbili kwan niliona kama jambo la kawaida sana kukutana na 'notifications kama hzo,na mara zote neno confirm lilipata fursa ya kutumika.hivyohivyo hata kwa reshmail nilifanya hvyo."You and reshmail are now friends" ndio ujumbe ulionisindikiza baada ya ku'confirm'..
* * * * *
Ni kijana mtanashati niliyebahatika kukutana nae pale chuoni saint.augustine mwanza,alijipenda kuanzia ndan ya chumba chake hadi mwilini mwake,ilikuwa ni nadra sana kumfumania akiwa amevaa nguo aliyoivaa jana,bila kumnyima haki yake nasema alikuwa anapendeza kila siku,macho yangu ya kipelelezi na camera zangu za kipaparazi kamwe hazikufanikiwa kumjua aliyekuwa ubavu wa bwana huyu 'MPENZI' ukipenda waweza kuniita mbeya lakin ukiniita hvyo basi waite wote pale chuon kwani walipenda kumpeleleza wamjue na kamwe hawakufanikiwa.
Binadamu hatuna dogo watu washaanza kusema eti huenda jamaa ana matatizo 'downstairs' mh! mi sikuwa mmoja wao lakin nilijiuliza pia kulikon?? makala zilizokuwa zinaandikwa na gazeti la chuon ndo zilinizonivuta zaid kutaka na mimi siku moja kuandika katika gazeti hilo lililokosa mvuto siku za hv karibuni.Taratibu nilijenga mazoea na hatimaye nikafanikiwa kumzoea "THE MOST WANTED" uchesh wangu ndo uliomvutia zaidi kupenda kuwa karibu nam,haukupita mwezi mzima nikawa nina uwezo wa kuanza kazi yangu,ni mimi na Adam Michael kwenye meza moja chumban kwangu ananipa hadith yake ya mapenz.
"Aah!! jamani RESHMAIL..." yangu masikio na macho nikaanza kusikiliza kwa makini.
@ @ @ @ @

kwa nin adam anasema hvyo?

KARIBUNI NYOTE

Nitakuwa naweka hadithi zangu humu ndani wale wapenzi wa hadithi mnakaribishwa sana